Header

Hivi ndivyo Wasanii na watu wa Karibu wa Belle 9 walivyohudhuria kwenye mazishi ya Baba yake mzazi (+picha)

Leo mchana kulikuwa na tukio la kumpumzisha baba yake mzazi wa msanii wa Bongo Fleva Belle 9 huko Mkoani Morogoro ambapo wasanii kibao wa Muziki walihudhuria kwenye tukio hilo na hapa chini tumekuwekea picha za tukio hilo jinsi lilivyoendeshwa.

 

 

Comments

comments

You may also like ...