Header

Yusuph Mlela aamua kumvaa rasmi ‘Live’ Nay wa Mitego,kisa kikiwa hiki…

Kama utakua mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii utakua umekutana na kipande cha video kinachomuonyesha Nay wa Mitego akiwasema wasanii wa filamu za Tanzania kwa juhudi zao walizozitumia kwa kuungana na Mkuu wa Mkoa wa Dar kupinga matumizi ya kazi feki za filamu Tanzania,ambapo wasanii wengi walionekana kuunga mkono juhudi hizo.

Mmoja kati ya wasanii ambao walionekana kukerwa na maneno ya Nay wa Mitego Yusuph Mlela ameamua kumchana Nay wa Mitego juu ya post yake na ameandika ‘Nay wa Mitego wewe jamaa si ulikuwa chocolaa wewe Leo umeyapatia kidogo unasahau kwamba nyuma yako kuna kundi la vijana wanatamani kuwa waigizaji\wanamziki wakubwa’

‘Acha kupotosha jamii yetu Kwa sababu zako binafsi… SISi wasanii ATUJAKATAZA MOVIE ZA NJE .. TUNATAKA WANAOZISAMBAZA WAFATE TARATIBU ZA KISHELIA ILI UWIANO WA BIASHARA UWEPO ndio lengo LA maandamano.. so acha kutafuta sifa… nakushangaa kuwa na ufikilivu mdogo kama wewe sio Msanii…halaf huwezi kufananisha filamu na mziki’

‘Wewe si mtoto wa manzese unajifanya unajua kupiga ngumi nataka Round 3 tu za boxing kwenye stage ili Tanzania ijue nani tahiraa nikutie adabu….. This is serous coz we mtoto mdogo tu kwangu maku tu dole la kati linakuhusu, kuongea sana tabia za kike wewe si hip hop na unajiamini njoo uwanjani chagua popote pale…..THiS is serous ?Nay wa Mitego’ -Yusuph Mlela.

Comments

comments

You may also like ...