Header

Baada ya Diamond Platnumz na Davido ‘Jah Prayzah’ aingia studio na staa mwingine kutoka Bongo

Msanii wa bongo fleva na hitmaker wa ngoma ‘Niambie’ pamoja na ‘Show me’ aliyomshirikisha Rich Mavoko atangaza ujio mwingine na mkali kutoka Afrika.

Kupitia kurasa zao za Instagram kwa pamoja Harmonize na mkali kutoka Zimbabwe Jah Prayzah wamezungumza na mashabiki wa muziki wao kuwa wako njia kuachia kazi ya pamoja  ambapo Harmonize alisema “??x ?? ?’ kama ishara ya kuonyesha kuwa kuna kolabo kati yao alikadharika Jah Prayzah alisema “In the studio again with another Tanzanian big star @harmonize_tz .Zimbabwe neTanzania ?” ujumbe uliothibitisha kuwa Afrika na Dunia wakae mkao wa kula.

Alichopost Harmonize akiwa nchini Zimbabwe

??x ?? ?

A post shared by Harmonize (@harmonize_tz) on

Huu ni ujumbu wa Jah Prayzah kuhusu uji huo.

In the studio again with another Tanzanian big star @harmonize_tz .Zimbabwe neTanzania ?

A post shared by Jah Prayzah (@jahprayzah) on

Hata hivyo Jah Prayzah ni wiki kadhaa tangu kuingia studio na mkali kutoka Nigeria ‘Davido’ nchini Afrika Kusini jambo ambalo mpaka sasa haijajulikana ni ngoma ipi itatangulia kutoka kati ya projct hizo mbili.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Msanii wa bongo fleva kutoka lebo ya muziki ya wasafi Harmonize  ambae anafanya vizuri kwa sasa kupitia wimbo wake wa show me alioshirikiana na  Rich mavoko imeonekana yuko Studio nchini zimbabwe   na Japrayza ikiashiria kuna kazi ya pamoja inakuja kati ya wawili hao

 

Siku chache zilizopita jahprayzah alisibitisha ujio wa kazi ya pamoja  kati yake na msanii kutoka Nigeria Davido ambapo walikutuna South Africa   walipoenda kufanya kazi hiyo

kupitia ukurasa wa Instagram jahprayza alipost picha ikimuonyesha yuko studio na harmonize kuashiria

Comments

comments

You may also like ...