Header

Mnyamwezi Tyga avuta ‘chombo’ kipya kuziba pengo la ex-wake Kylie Jenner (+Picha)

Yaani kwa Dunia ya leo ukiwa maarufu na una pesa hakuna linaloshindikana!!Hii inakuja kudhihirika kwa Rapa Tyga baada ya kumwagana na Mrembo Kylie Jenner leo amemuonesha kwa mara ya kwanza Girlfriend wake mpya kwenye mitandao ya kijamii.

Tyga na Kylie Jenner walizinguana kwa ishu za usaliti baina yao kitu ambacho wawili hao walikuwa wakimya kila mmoja wao akiwa single mpaka leo Tyga alivyoamua kuuonesha ulimwengu ubavu wake kwa kuopoa mrembo huyo ambae jina lake halijajulikana mpaka sasa ingawaje mitandao mingi imedai kuwa ni Model,Tazama picha za mrembo huyo akiwa na Tyga jana kwenye Mgahawa wa Serafina Sunset huko Los Angeles,Marekani

 

Comments

comments

You may also like ...