Header

Huu ndiyo ujio mpya wa Sauti Sol

Kundi  la muziki wa Afro pop kutokea nchini kenya  ambalo kwa sasa lina fanya vizuri kupitia wimbo wao ‘kuliko jana ‘ wameonekana wakiwa studio na msanii kutokea nchini Nigeria Burna Boy

Kupitia ukurasa wa instagram wa kundi hilo la Sauti Soul  wamepost picha inayowaonyesha wako studio pamoja na Burna Boy ambaopo wameandika ‘Hit Squad ??’ ishara inayo onyesha ujio wa kolabo kati yao.

 

 

Hit Squad ?? cc @burnaboygram ? ?

A post shared by SAUTI SOL ?? (@sautisol) on

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...