Header

Carmelo Anthony akwepa kashfa ya kumsaliti Mkewe

NEW YORK, NY - DECEMBER 05: (NEW YORK DAILIES OUT) Carmelo Anthony #7 of the New York Knicks in action against the Brooklyn Nets at Barclays Center on December 5, 2013 in the Brooklyn borough of New York City.The Knicks defeated the Nets 113-83. NOTE TO USER: User expressly acknowledges and agrees that, by downloading and/or using this Photograph, user is consenting to the terms and conditions of the Getty Images License Agreement. (Photo by Jim McIsaac/Getty Images) *** Local Caption *** Carmelo Anthony

Mchezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani, Carmelo Anthony anayeandamwa na kashfa kumsaliti mkewe, La La na kumpa ujauzito densa anayecheza mtupu, si za kweli kwa mujibu wa jarida la moja maarufu nchini Marekani la Page Six.

Taarifa hizo za Anthony, mwenye umri wa miaka 32, kumpa ujauzito densa huyo anayefanya kazi kwenye ukumbi wa usiku wa New York ziliandikwa kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa udaku wa TMZ.

Mtandao huo ulidai kwamba mwanamke huyo ana ujauzito wa miezi sita na Anthony yuko tayari kulipa gharama za mtoto huyo.

Akiongea na Jarida la Page Six, Carmelo amesema kuwa“Habari za kumpa ujauzito mcheza utupu si za kweli. Kweli naweza nisiwe mkamilifu lakini si kweli 

Chanzo cha karibu na La La kililiambia jarida la Page Six: “La La ambaye mke wa Carmelo hataki kujiingiza kwenye tetesi zote hizo, hataki kufuatilia mambo hayo. Kila siku tetesi za udaku zinakuwapo na wengi watakuwa wakijadili na kujadili.

Comments

comments

You may also like ...