Header

Litazame tukio zima la uzinduzi wa kampeni ya Mkubwa Fella (+Picha)

Siku ya leo imekuwa rasmi ya uzinduzi wa kampeni ya “Tujuane Tusaidiane” inayoongozwa na Meneja wa TMK Family na Mkubwa na Wanae Mkubwa Fella kama njia ya kuwapatia shukrani wanakata wake wa kata ya Kilungule, Mbagala iliyoko jijini Dar es Salaam

Ni mambo tofauti yamefanyika katika kata hiyo ikiwemo michezo ya kila aina na ubunifu wa miradi ya kuwasaidia wenye nia njema ya kuishi maisha ya kushiriki miradi yenye tija kwenye jamii zao zinazowazunguka.

 

Comments

comments

You may also like ...