Header

M-rap Lion na Miss Rizy wafikisha mwaka mmoja na uongozi wao wa Marekani

Msanii wa hip hop  Tanzania M Rap Lion ambae kwasasa anafanya vizuri kupitia wimbo wake wa ‘It’s not too late’ aliyoshirikiana na muimbaji Mayunga afifikisha mwaka mmoja wa kufanya kazi na uongozi wake Muki Intertational.

Kupitia ukurasa wa instagram wa uongozi huo wa Muki International amepost picha ya ya msanii wao M-Rap pamoja na Miss Rizy  na kuandika “A year ago today #HappyOneYear #Anniversary @mraplion @Missrizy #Tanzania #Bongoflavourtotheworld #Bongoflavamusic #afrobeatsmusic”

Ni mara chache sana kwa baadhi ya wasanii wa Tanzania kudumu na menejimenti zao jambo ambalo limekuwa tofauti kwa M-Rap ambapo  mwaka jana aliweza kupata uongozi wenye ofisi zake nchini Marekani ambao pia unamsimamia msanii mwenzake Miss Rizy

 

Comments

comments

You may also like ...