Header

Mfahamu shabiki wa Diamond Platnumz ambaye angenunua Chibu Perfume kwa bei yoyote

Kufuatia jana kuzindulikwa kwa manukato ya msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz ni wengi walijitokeza kujipatia bidhaa hiyo huku akijitokeza mteja kati ya wateja wa kwanza aliyeonyesha kuwa tayari kununua Chibu Perfume kwa bei yoyote.

Akizungumza na Dizzim Online shabiki huyo alijitambulisha kama Ahamed Khamis alimaarufu kama Eddy Platnumz ambaye amekuwa mteja wa kwanza kati ya wale walioweza kununua bidhaa kwa bei tajwa ya shilingi 105,000 pesa za kitanzania na kubainisha kuwa anaamini katika bidhaa hiyo kwakuwa ni kitu kikubwa na chapeke kuwahi kutokea kwa wasanii wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujmla.

Mteja na mdau wa bidhaa ya Chibu Perfume Eddy Platnum

Msiklize hapa alelezea hisia zake juu ya kumiliki Chibu Perfume kihalali.

 

Comments

comments

You may also like ...