Header

Mke wa T.I. Tiny afunguka kuhusu talaka yao

Wiki hii T.I. na mke wake Tiny walianza kurusha msimu wa mwisho wa reality show yao, “The Family Hustle.” Tiny alizungumza na Wendy Williams kuhusu show hiyo pamoja na uwezekano wa talaka yake na mume wake.

Alipoulizwa iwapo mgongona kwenye ndoa yao ni kiki kwaajili ya kuongeza umaarufu wa show, Tiny alisema, “ That’s what you think?” “No.”
Muimbaji huyo wa zamani wa kundi la Xscape alisema kuwa uhusiano wao ulikumbwa zaidi na matatizo kutokana na show hiyo.

“I think reality TV did put a little strain in it because it keeps people in your business. I felt like it was a family show so it would be cool but it just seems like everything turns out to be in the media. We just cannot keep it together. I guess it’s just the entertainment life and everything. It’s just a lot. It is a fast life. They call him a sex symbol, I guess.”

Pia Tiny amesema tetesi za mume wake kuchepuka na model, Bernice Burgos si sababu ya yeye kudai talaka December mwaka jana.

“He’s not even with her,” alisema. She had nothing to do with whatever was going on with us before anyway. We were already going through whatever we were going through. She just came in the picture after I filed for divorce.”

Tiny alizungumzia tetesi za uhusiano wake na Floyd Mayweather baada ya kuoneka video mtandaoni wakicheza muziki pamoja.

“I wasn’t up on him,” alielezea. “Actually, I was already dancing. We’re friends. It’s never been anything extra with me and Floyd. Never. I’ve been knowing Floyd for a long time. He’s a nice looking man but it’s never been anything other than a friendship.”

Comments

comments

You may also like ...