Header

Breaking News : Haji Manara apigwa rungu na TFF

Baada ya Shirikisho la Soka nchini Tanzania TFF kumpeleka Msemaji mkuu wa Klabu ya Simba Haji Manara kwenye kamati ya Maadili hatimae kamati hiyo imetoa maamuzi leo.

Kamati ya Maadili ya TFF imetangaza kumfungia msemaji huyo mkuu wa Simba kwa Miezi 12 bila kujihusisha na masuala yoyote ya kimichezo huku ikimpiga faini ya Tsh Milioni 9.

TFF imesema chanzo cha faini hiyo ni imemuhukumu kifungo hicho kwa kumtia hatiani kwa makosa ya kukashifu, kutuhumu, kudhalilisha, kupotosha na kushawishi kupata ushindi wakati kuna shitaka lipo kwenye kamati.

 

Comments

comments

You may also like ...