Header

Diego Costa agoma kutimkia Italia

Mshambuliaji  wa Chelsea, Diego Costa  kwa sasa ana ukame wa magoli kwenye Ligi kuu Nchini Uingereza ila akiwa na magoli ni 17 kwenye ligi hiyo.

Taarifa kutoka Gazeti The Sun nchini Uingereza zinasema kuwa Diego amegoma kwenda kujiunga na miamba ya  Itary Juventus kwa kigezo cha kukataa kuwa mshambuliaji namba 2 nyuma ya Gonzalo Higuain.

Diego anausishwa kuondoka The blues itakapofika majira ya joto baada ya kusema kuwa hana furaha na maisha ya London japo anaishi vizuri ndani ya klabu ya Chelsea.

Comments

comments

You may also like ...