Header

Kwa mdau wa Movie; Kaa tayari kwa ujio wa Fast 9

Kama wewe ni mdau wa Movie hususani mfuatiliaji wa series za ‘The fate of the Furious’ basi kaa tayari kwa ujio wa Toleo la Fast 9 ikiwa ni baada ya wiki mbili tuu tangia toleo la Fast 8 liingie sokoni.

Akithibitisha ujio wa ‘The Fate of the Furious’ toleo la 9 Muigizaji wa Series hizo Tyrese ameshatoa ‘Cover’ la toleo hilo jipya la Fast 9 ambalo linatarajiwa kutoka mwaka 2019.

Comments

comments

You may also like ...