Header

{LEAKED WHATSAPP CHAT} DJ CREME Kipenzi Cha Ma Binti

Ukizungumzia ma deejays ambao wanapendwa na kukubalika sana katika anga za Afrika Mashariki, DJ CREME yupo  kwenye orodha hiyo. Mkali huyo wa kumixx kwenye moja na mbili akitumbuisha mashabiki huwa anahakikisha wanapata burundani isiyo na kifani, CREME ambaye hivi majuzi pia ameingia kwenye maswala ya muziki si Deejay tu wa kawaida mbali pia huwa ana hype umati wakati anapo mixx. Hii leo tumekutana na Whatsapp Chat ambapo washkaji wawili wanazungumza vile DJ CREME anapendwa na watoto wa kike. Kaisome mwenyewe hio hapa:-

Comments

comments

You may also like ...