Header

Baada ya kutemana na mchumba wake wa zamani ‘Antony Martial’ aopoa kifaa kipya (+picha)

Mshambuliaji nyota wa Man United na timu ya taifa ya Ufaransa,Anthony Martial ameonekana katika mitaa ya jiji la Manchester akiwa na mchumba wake mpya ajulikanae kwa jina la Melanie Da Cruz Pires.
 
Hivi karibuni, mpenzi wa zamani wa Martial aitwaye Samantha Jacquelinet alimuita Melanie ni malaya, lakini mwanamitindo huyo hakuonyesha kuwa na matata wala jaziba baada ya kumnasa mshambuliaji huyo machachari. .
Kitendo cha Martial na Melanie kuonekana mitaani mara kwa mara kimeonakana kumkera Samantha ambaye ni mzungu,Martial alifunga bao moja wakati Man United ikiitwanga Burnley kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu England, wikiendi iliyopita,Tazama picha za wawili hao
Related image
Image result for Melanie Da Cruz Pires and Anthony Martial
Related image

Comments

comments

You may also like ...