Header

Eden Hazard ajiandaa kutimkia Madrid

Kiungo wa Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard mwenye umri wa miaka 25 ambaye amekuwa kwenye kiwango bora msimu huu kwenye Ligi Kuu nchini Uingereza  na mpaka sasa ameshafunga magoli.15 huku miamba ya Hispaini Real Madrid wanaitaji saini yake.

Gazeti moja la michezo nchini Ubegiji Sport/Foot limeripoti kuwa Eden Hazard ameshakutana na Mkurugenzi wa Madrid Jose Angel Sanchez na kukubalia baadhi mkataba wa awali kuitumikia Madrid msimu ujao

Kocha wa Madrid,Zidane amekuwa muumini mkubwa wa mchezaji huyo kiasi cha kwamba kuishawishi Madrid kutumia paundi miliono 100 kuinasa saini ya mchezaji huyo.

Comments

comments

You may also like ...