Header

Msanii chipukizi ‘Nkunda Star’ afunguka sababu za kurap nyimbo zake kwa Kisukuma (+Video)

Watu wengi hususani kwa wafuatiliaji wa muziki wa hip hop nchini Tanzania watakuwa wanamfahamu Rapa ‘Nkunda Star’ ambae anafanya vizuri na ngoma yake ya ‘Dimaga’ wimbo ambao ameimba kwa lugha ya Kisukuma.

Nkunda Star amesema muziki hauna lugha ndiyo maana utakuta watu wanasikiliza nyimbo za kihindi au hata za kiingereza lakini hawajui kilichoimbwa,Msikilize hapa chini Nkunda akizungumzia maamuzi yake ya kurap kwa kisukuma

Comments

comments

You may also like ...