Header

Beka One Flavour anena mazito kuhusu Yamoto Band

Msanii kutoka kundi la Yamoto Band iliyo chini ya Mkubwa Fella, Beka ambae amekua akiitendea haki sauti yake pale anapo pewa nafasi iwe kwenye kundi au nyimbo ya Mtu binafsi amefunguka mazito kuhusu Yamoto.

Akizungumza na DizzimOnline Beka amesema kuwa swala la msanii kufanya nyimbo yake alijavunja kundi kwani bado wako pamoja na kufanya nyimbo kila mtu yake wamepata baraka zote za kwa uongozi wao.

Uongozi tuliomba utupe ruhusu ya sisi kufanya  nyimbo kila mtu mwenyewe na uongozi ulitubariki kufanya hivyo ila tukitoa nyimbo yoyote nje ya Yamoto band uongozi hausimamii chochote kwenye hizo nyimbo” Alisema Beka.

Beka ameweka sawa baada yakuenea uvumi kuwa Yamoto Band imevurugika kwa kuona wasanii wakitoa nyimbo zao kama Aslay na Maromboso.

Comments

comments

You may also like ...