Header

Mabeste atamani kumrithisha mtoto wake muziki wa Hip hop

Msanii wa Muziki wa Hip hop  Tanzania Mabeste  ambae anafanya vizuri kwa sasa kupitia wimbo wa  Kaa la Roho ameonyesha nia ya kumrithisha mtoto wake Kendrick mikoba ya muziki huo

Akipiga stori na DizzimOnline Mabeste amesema kuwa  miongoni mwa vitu ambavyo  anatamani siku moja kuona ni pamoja na mtoto wake Kendrik anafanya muziki wa Hip hop na anakuwa mbunifu zaidi na kuleta changamoto katika muziki .

Natamani nimuone kendrick siku moja anakuja kuwa Rappa mkali , mbunifu na kuleta changamoto katika muziki  lakini pia naamini ipo siku atafanya hivyo” Alisema mabeste

 

Hata hivyo mabeste amesema kuwa kwa sasa yuko kimya kwasababu anajiandaa na ujio wake mpya  ambapo ameahidi kuja na kazi itayo wavutia watu wengi

 

 

Comments

comments

You may also like ...