Header

James Rodriguez hayakimbia maisha ya Madrid

Mcolombia ambaye hana nafasi kwenye kikosi cha Real Madrid James Rodriguez ame mwambia wakala wake Jorge Mendez kuwa hana taka kuama timu hiyo pale tu dilisha kubwa litapofunguliwa tu,

kwa tetesi hizi zinaweza kuwa mpango wa Manchester United kumchukua James Rodriguez ukatimia, baada ya nyota huyo kusema anataka kuondoka Real Madrid. amemtaka wakala wake, Jorge Mendes, kuhakikisha anakamilisha dili la kutua Old Trafford.

James amekuwa hana nafasi kwenye kikosi cha Madrid toka Zidane alipochukua kikosi hicho kutoka kwa Rafael Bentez.

Comments

comments

You may also like ...