Header

Zipitie picha za awali za show ya Nyama Choma Festival (+Picha)

Leo jumamosi ya terehe 29 ya mwezi wa nne ni siku ambayo moja ya tamasha kubwa ‘Nyama choma Festival’ limefanyika katika viwanja vya Leaders Club jijni Dar es Salaam ambalo katika jukwaa la utoaji wa burudani ya wasanii wenye uwezo kutoka Tanzania watatumbuiza.

Wasanii waliopewa dhamana ya burudani ni pamoja na hitmaker wa ngoma ‘Nisaidie kushare’ Jay Moe, Nandi, Nikki Mbishi, Tammy The Baddest na wengineo.

 

Kwa picha mbalimbali za tukio hili kubwa la kiburudani endelea kuwa nasi katika kila kurasa za mitandao ya kijamii ya Dizzim Online.

Comments

comments

You may also like ...