Header

Zlatan Ibrahimovic agomea Mshahara wa Man.U

Mshambuliaji mkongwe wa Man United, Zlatan Ibrahimovic amekataa mshahara wake hadi atakapopona.
Zlatan alisaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Man United na anatakiwa kulipwa pauni 250,000 kila wiki, yeye amesema hataki mshahara hadi atakapopona.
 Ibra aliumia katika goti katika mechi dhidi ya Anderlecht ya Ubelgiji na sasa atalazimika kukaa nje kwa miezi tisa

Comments

comments

You may also like ...