Header

Mbele ya watazamaji Elfu 90: Bondia Antony Joshua amzima KLITSCHO

Bondia Muingereza Anthony Joshua ameendeleza rekodi yake ya kutopoteza mchezo wowote baada ya kumshinda Mpinzani wake kutoka Ukraine  Wladmir Klitscho katika pambalo la ubigwa wa WBF lililopigwa usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Wembley. 

Katika Pambano hilo lililohudhuriwa na mashabiki zaidi ya 90, 000, Bondia Anthony Joshua alimshinda Kritscho katika Raundi ya 11 licha ya Klitscho kuonekana kumiliki raundi ya Tano ya Mchezo huo kwa kumzidi bondia huyo kabla ya kumuangusha mara mbili Klitscho katika raundi ya 11.
Joshua, 27 ameteta Ubingwa wake wa WBF, World Heavyweight pamoja na kupata Mkanda Wa WBA akiwa na Umri wa miaka 27,Na akilinda heshima yake ya kutokupigwa Michezo 19.

Comments

comments

You may also like ...