Header

Mwana FA aitaka Yanga fainali ya FA

Msanii mkongwe kwenye gemu ya Bongo Fleva Mwana FA a.k.a Binamu anayesumbua na Ngoma yake ya Dume Suruali ambaye pia ni mahabiki wakutwa wa Simba Sports Club na Manchester United ametia neno baada ya Wekundu wa Msimbazi kutinga fainali.

Binamu  kupitia ukurasa wake wa Twitter amewaomba Mbao wafungwe leo kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la Shiriko ili Yanga watani zao wajadi waingie fainali wa ili waawafunge tena kabla msimu ujaisha

Mbao FC,tunawaomba mfungwe leo!tuna shughuli na gongowazi mara moja ya mwisho kabla msimu haujesha huu..natanguliza shukrani za dhati” hiki ndicho alichoandika  Mwana FA

Simba jana waliingia fainali baada ya kuifunga Azam goli 1-0 kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.

Comments

comments

You may also like ...