Header

April 2017TENISI: Andy Murray atinga nusu fainali

Mchezaji namba moja kwa ubora wa mchezo wa tenisi Andy Murray ametinga kwenye nane bora ya michezo ya wazi ya Tenisi ya Barcelona Mwingereza huyo alimshinda Muhispani Feliciano Lopez. Kwa seti mbili ya 6-4 na 6-4,kwa upande mwingine Rafael Nadal ... Read More »

April 28, 2017 0


April 27, 2017

Simba yahaidi kuitafuna Azam FC

Simba  imeapa kufa na Azam baada ya kuona njia pekee itakayowasaidia kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao ni kunyakua taji la Kombe la FA,Wekundu wa Msimbazi  imeingia hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo ya Kombe la Shirikisho kwa ... Read More »

April 27, 2017 0