Header

April 2017April 27, 2017

Timbulo aikumbuka shule

Msanii wa bongo fleva na mtaaluma wa ualimu Tilmbulo a.k.a Timz amejikuta akiikumbuka kazi yake aliyoisomea ya na kutoa sababu ya kuachana na kazi hiyo. Akipiga stori na Dizzim Online Timbulo amesema kuwa bado anaikumbuka sana kazi yake ya awali ... Read More »

April 27, 2017 0

April 27, 2017

Ray C aguswa na ujumbe wa Diamond Platnumz

Msanii wa bongo fleva ambaye kwasasa anafanya vizuri kupitia wimbo wake wa ‘Unanimaliza’ ameonesha kuguswa na ujumbe wa msanii mwenzake Diamond Platnumz alioutuma kwake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ray C alipost ujumbe wa kumshukuru Diamond kufuatia kumshauri, kumtia moyo ... Read More »

April 27, 2017 0


April 27, 2017

Mwambusi awapa onyo kali Mbao FC

Kocha msaidizi Yanga, Juma Mwambusi ameitaka Mbao FC kujiandaa na kipigo hasa baada ya mshambuliaji wao wakimataifa kutoka Burundi Amissi Tambwe kupona majeraha yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu. Akizungumza na DizzimOnline Mwambusi amesema uwepo wa Tambwe unawapa matumaini makubwa kutokana na uwezo ... Read More »

April 27, 2017 0
April 27, 2017

Diamond Platnumz atangaza mabadiliko

Msanii wa muziki wa bongo fleva na mmiliki wa biashara inayopanda kwa kasi ya manukato(Chibu Perfume) na lebo ya muziki ya WCB kutoka Tanzania Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ametoa sababu za kunyoa rasta zake. Akizungumzia mabadiliko ya muonekano wake ... Read More »

April 27, 2017 0


April 27, 2017

Ray C amtamani tena Chid Benz

Msanii wa muziki wa bongo fleva mwenye ujio wa ngoma mpya inayokwenda kwa jina ‘Unanimaliza’ Rehema Chamamilla a.k.a Ray C ameonesha hamu na nia ya kutaka kufanya kazi na rapa Chid Benz. Chid Benz Akizungumza na Dizzim Beats ya Dizzim ... Read More »

April 27, 2017 0