Header

April 2017

April 1, 2017

Simba kamili gado kuivaa Kagera Sugar

Kikosi cha Simba kimezidi kuimarika baada ya leo asubuhi nyota wake saba walio kuwa wakizutumikia timu za taifa kufanya mazoezi pamoja kambini ambako kesho Simba watacheza na Kagera Sugar kwenye dimba la kaitaba Kocha mkuu wa Simba Joseph Omog, ameiambia ... Read More »

April 01, 2017 0


April 1, 2017

Diamond Platnumz na AY wafanya kufuru

Ukizungumzia watu maarufu kuongeza vitu vya ziada na mbwenbwe kwenye magari yao wanayotumia alimaarufu kama Car Pimping ni jambo linalozidi kushika kasi kiasi kwamba hata watu wasio maarufu wanashiwishika kufanya hivyo na Dicksound mmoja kati ya mhusika wa mambo ... Read More »

April 01, 2017 0

April 1, 2017

Vanessa akumbuka machozi ya Lady JayDee

Msanii wa Bongo fleva Vanessa Mdee a.k.a The Original Cash Madam aitaja show yake ya kwanza ya msanii wa Bongo kuihudhuria kipindi ambacho hakuwa ameingia rasmi katika muziki kama msanii. Akizungumza na Dizzim Online Vanessa amesema kuwa kumjua kwake na ... Read More »

April 01, 2017 0


April 1, 2017

Monalisa amvisha nyota Lady JayDee

Muigizaji wa Bongo Movie kutoka Tanzania Monalisa ni mmoja kati ya waliofika kushuhudia uzinduzi wa album ya saba ya WOMAN ya Lady JayDee na kuitaja album ya kwanza ya Machozi iliyotoka mwaka 2000 kuwa moja ya album ambayo anaikubali ... Read More »

April 01, 2017 0