Header

May 2017




May 31, 2017

Testimonial ya Carrick yasogezwa mbele

Kiungo wa Manchester United Michael Carrick amelazimika kusogeza mbele mechi ya heshima kwaajili yake iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi hii ili kupisha tamasha lililoandaliwa kwaajili ya kumbukumbu ya tukio la mlipuko wa bomu lililotokea jijini Manchester Mei 22 mwaka ... Read More »

May 31, 2017 0


May 31, 2017

Femi One Awapa Makavu Wabaya Wake

Msanii wa kike wa humu nchini FEMI ONE ameonekana kugadhabishwa na baadhi ya watu ambao wanampa maoni ilhali hawamsaidi kwa lolote, kupitia mtandao wake wa instagram Femi aliandika "It's funny how you meet people and they start advising you ... Read More »

May 31, 2017 0







May 31, 2017

Busu lamponza mchezaji wa Tenisi ‘French Open’

Mchezaji wa Tenesi Maxime Harmou amefungiwa kushiriki mashindano ya French Open na waandaaji wa michuano hiyo inayoendelea jijini Paris nchini Ufaransa  baada ya kulazimisha kumpiga busu mwandishi wa kike wa Television hadharani, alipokuwa akifanyiwa mahojiano mubashara siku ya Jumanne. Mfaransa ... Read More »

May 31, 2017 0