Header

Breaking News: Mtandao wa WhatsApp waacha kufanya kazi ghafla

Mtandao wa kijamii wa ujumbe wa WhatsApp umeacha kufanya kazi ghafla kwa watumiaji wote duniani huku watumiaji kushindwa kutuma wala kupokea jumbe.

Kupitia taarifa tofauti za watuamiaji wa mitandao ya kijamii imeonekana wamegundua kutokea kwa tatizo la mtandao huo huku baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wakiupigia debe mtadao wa Telegram kama suruhusho la tatizo la watumiaji wa mtandao wa huduma ya mawasiliano ya internet ya WhatsApp.

Hata hivyo wahusika wa mtadao huo wa kijamii wa WhatsApp hawajatoa taarifa sahihi ya kutokea kwa tatizo linaonednela kuwazuia watumiaji kushindwa kutuma wala kupokea jumbe kupitia mtandao huo jambo ambalo linawalazimu kungoja tatizo hilo litatuliwe.

Comments

comments

You may also like ...