Header

EUFA yaja na mfumo mpya wa upigaji penati

Shirikisho la kandanda barani Ulaya (UEFA) Lipo katika mikakati ya kufanya majaribio mfumo mpya wa upigaji wa mikwaju ya Penati mitano mitano ili kuondoa faida ya timu inayoanza kupiga Penati hizo.

Mfumo huo mpya, ambao unatambuliwa kama ABBA, utatumika kwa timu ya kwanza itayotambulika kama timu A kupiga penati ya kwanza na kisha timu B kupiga penati ya pili na ya tatu na kisha timu B kupiga penalti ya nne na ikifuatia zamu ya timu A kupiga Penati ya 5 na ya 6 kwa kupokezana hivyo kila moja kukamilisha Penati 5.

Mfumo huo umependekezwa na IFAB ambacho ni chombo pekee chenye mamlaka ya kubadili sheria za soka.

Comments

comments

You may also like ...