Header

Vanessa Mdee amkalisha Falz kwenye Lip Sync Battle

Vanessa Mdee amechukua mkanda wa Lip Synch Battle baada ya kumkalisha rapper wa Nigeria, Falz.

Show hiyo imeruka mwishoni mwa wiki kupitia MTV Base Africa. LSB hukutanisha wasanii wawili ambao hushindana kuigiliza nyimbo mbalimbali na mshindi hupewa mkanda.

Watangazaji wa show hiyo ni Pearl Thusi na Denrele Edun. Tazama picha zaidi hapo chini.

Comments

comments

You may also like ...