Header

Bongo movie bado iko hai -” Omary Clayton”

Msanii wa filamu Nchini Tanzania ambaye amepata nafasi ya kuchaguliwa kwenda kwenye tuzo za Gatffest Film Festival zitakazofanyika Kingstone Jamaica Omary Clayton amefunguka kuhusiana na uvumi kwamba kifo cha marehemu Kanumba na soko la filamu limeporomoka kwa kiasi kikubwa.

Akizungumza na DizzimOnline Omary amesema kuwa amekubali kwamba Kanumba alikuwa na uwezo mkubwa sana na ni mwigizaji mzuri ila hajaondoka na soko la filamu baada ya kifo chake

“Kiukweli kila mtu ana nafasi yake na ana uwezo wake na upendo wake katika jamii , kweli marehemu kanumba alikuwa muigizaji mzuri sana ila mimi kwa upande wangu nasema hajaondoka na soko la filamu na halijayumba mimi nakataa  na unajua ukisema hivyo ni kukata tamaa na katika maisha hutakiwi kukata tamaa. Alisema  Ommy

Ommy amefunguka zaid na kjusema hata hiko kipindi cha Kanumba yuko hai kuna watMMu walikuwa wanamdisi wakisema kuwa hana jipya kwenye filamu.

 

Comments

comments

You may also like ...