Header

L.A. Reid ajiuzulu kama bosi wa label ya Epic Records

Antonio Marquis “L.A.” Reid amejiuzulu kwenye nafasi yake kama mwenyekiti wa label ya Epic Records, Variety imeripoti. Bosi huyo alijiunga na label hiyo iliyopo chini ya Sony Music, July 2011.

Katika kipindi cha miaka sita alichofanya kazi, Reid amewasainisha wasanii kama Meghan Trainor, Future, Travis Scott, Fifth Harmony na DJ Khaled.

Pia alimrudisha Mariah Carey kwenye himaya ya Sony kutoka Island Def Jam. Haijulikani ni nini Reid atafanya mbeleni na wasemaji wa Sony bado hawajasema lolote.

Comments

comments

You may also like ...