Header

Ngoma Mpya: Chris Brown f/ Nas – Die Young

Chris Brown ameachia wimbo Die Young aliomshirikisha Nas na ambao ni heshima kwa rapper Chinx, aliyeuawa kwa kupigwa risasi akiwa na miaka 31 mwaka 2015. Wimbo huu hautakuwepo kwenye album yake ijayo Heartbreak on a Full Moon, kwakuwa hakuwa ameutaja kwenye nyimbo 40 alizozionesha mwezi uliopita kuwemo kwenye album hiyo.

Comments

comments

You may also like ...