Header

Kamusoko awakatisha tamaa Simba Sc

Kiungo wa Yanga Thabani Kamusoko, amesema anauhakika asilimia 100, timu yake itatetea ubingwa wao Ligi Kuu, kutokana na ushindi wanaoendelea kuupata katika mechi zinazoendelea za ligi hiyo.

Akizungumza baada ya mchezo kumalizika jana Kamusoko amesema kuwa a wapizani wao Simba kujipanga kwa mchezo wao wa fainali ya FA dhidi ya Mbao FC, kwani kwenye ligi hawana nafasi.

Ni kweli ligi ni ngumu lakini idadi ya mechi tulizobakiwa nazo ukilinganisha na za Simba ndiyo inanipa kiburi kusema maneno haya,” amesema Kamusoko.

Kamusoko ambaye aliibuka Mchezaji bora wa kimataifa msimu uliopita kutokana na mchango mkubwa alioutoa kwa Yanga iliyokuwa imemsajili akitokea FC Platinum.

Comments

comments

You may also like ...