Header

Video: Tazama show nzima ya Alikiba kwenye One Africa Music Festival

Usiku wa kuamkia leo, Alikiba aliiwakilisha Tanzania kwenye One Africa Music Festival lililofanyika jijini London, Uingereza. Akiwa na live band, Kiba alitumbuiza nyimbo nne, Unconditionally Bae, Mwana, Chekecha Cheketua na Aje Remix ambayo aliungana na rapper M.I. wa Nigeria. Tazama show nzima hapo chini.

Comments

comments

You may also like ...