Header

BET Awards 2017: Tanzania yakosa nomination kwenye Best International Act

Tanzania haina mwakilishi kwenye tuzo za mwaka huu za BET katika kipengele cha Best International Act: Africa. Kipengele hicho kimetawaliwa na wasanii wa Nigeria na Afrika Kusini.

Wasanii waliotajwa kuwania kipengele hicho ni pamoja na Wizkid, Tekno, Stonebwoy, Nasty C, Davido, Babes Wodumo na AKA.

Chini ni majina ya vipengele vingine vilivyotajwa Jumatatu hii:

Best Female Hip-Hop Artist
@IAmCardiB
@MissyElliott
@NickiMinaj
@RealRemyMa
@YoungMAMusic

Best Male R&B/Pop Artist
@BrunoMars
@ChrisBrown
@TheWeeknd
@TreySongz
@Usher

Best Female R&B/Pop Artist
@Beyonce
#Kehlani
@MaryJBlige
@Rihanna
@SolangeKnowles

Album of the Year
24K MAGIC
4 YOUR EYEZ ONLY
A SEAT AT THE TABLE
COLORING BOOK
LEMONADE

Comments

comments

You may also like ...