Header

Kevin Hartt na mkewe Eniko Parrish waja na taarifa njema siku ya Mama Duniani

Kevin Hartt na mkewe Eniko Parrish amekiki zaidi mtandaoni baada ya kutoa taarifa njema na rasmi kwa mshabiki wao siku ya jana katika kusharehekea siku ya mama duniani.

Wawili hao walitoa taarifa ya kuwa wanategemea mtoto wao wa kwanza wa kiume baada ya Kevin kupost mtandaoni picha akiwa na mpenzi wake na kuandika kuwa “Tunasherehekea siku ya mama duniani na mke wangu” tunacheka huku ukweli ni kwamba mwaka ujao kama leo tutakuwa tunasherehekea mtoto wake wa kwanza kwenye siku ya mama duniani kama ya leo” ujumbe ambao

Hata hivyo kwa Kevin Hartt mtoto huyo wa kiume kama akizaliwa salama atakuwa ni mtoto wa tatu akiwa ni mwenye watoto wawili kabla waliowapata katika mahusiano yake yaliyopita.

Comments

comments

You may also like ...