Header

Mashabiki wa Future wamshambulia mume wa Ciara, Russell Wilson kwa ujumbe huu wa Mother’s Day

Ujumbe wa Mother’s Day wa mume wa Ciara, Russell Wilson kwa mkewe wake huyo umepokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki wa Future.

Russell aliandika ujumbe mzuri kwa Ciara lakini kitendo cha kuandika kuwa mtoto wa Future ni wa kwake, kimewakera mashabiki wa rapper huyo aliyeachana na Ciara August 2014.

Russell aliandika:

Nothing better than spending time with you. You are an amazing mom & I’m so grateful I get to spend the rest of my life with you & raising our kids. I love you! #HappyMothersDay Weekend my love. @Ciara

Hata hivyo mashabiki wake nao walijitokeza kumtetea na kumsifia kwa kumchukulia mtoto wa Future, Future Zahir Wilburn kama wake.

Comments

comments

You may also like ...