Header

Klabu ya soka ya AS Monaco kusherehekea mafanikio ya msimu na 50 Cent

Klabu ya soka ya AS Monaco imemchukua 50 Cent kutumbuiza kwenye tamasha maalum kwaajili ya kusherehekea mafanikio ya msimu huu. AS Monaco imeingia nusu fainali ya ligi ya mabindwa na inaweza kuchukua ubingwa wa Ligue Jumatano ikishinda ama ikitoka sare dhidi ya Saint-Etienne.

Wakitarajia kumalizia mchezo wao wa mwisho wa ligi Jumamosi, 50 Cent atatumbuiza show maalum Jumapili jioni ambapo wachezaji na maafisa wa klabu hiyo watahudhuria.

Hata hivyo, tamasha hilo halitakuwa wazo kwa mashabiki wengine. Litafanyika kwenye uwanja wa Place du Palais, nyumbani kwa Albert II, Prince of Monaco

Comments

comments

You may also like ...