Header

Eddy Kenzo akamilisha kolabo na mkongwe kutoka Afrika

Msanii kutoka Uganda na hitmaker wa ngoma kibao ambazo ni pamoja na Soraye, Zigido, Sitya Loss na nyingine nyingi Eddy Kenzo amefanya kolabo na mwanamuziki wa muda mrefu na mkongwe kutoka nchini Kongo kwa mujibu wa kianachoendelea.

Werrason

Kupitia kionjo kianachoendelea kusambaa mtandaoni ni wazi kuwa Kenzo amekutana na muimbaji Werrason katika wimbo ulioitwa ‘Malembe’ neno ambalo lina maana ya ‘polepole’ katika lugha ya Kilingala.

Wimbo huo umetayarishwa na Djizzo katika mchanganyiko wa maadhi ya Afro Pop na Rhumba wimbo ambao una unatarajiwa kuachiwa hivi karibuni kwakua kionjo kinatoa taarifa za kuwa mashabiki wakae mkao wa kula.

Comments

comments

You may also like ...