Header

Zinedine Zidane anukia Ufaransa kombe la Dunia

Katika kungoja msimu mpya wa kombe la dunia mwakani kocha mfaransa wa klabu ya Real Madri, Zinedine Zidane yuko katika uwezekanano mkubwa wa kupata nafasi ya kuteuliwa kuiongoza timu ya taifa ya Ufaransa.

Kufuatia Real Madrid kunyakua taji la ubingwa msimu huu wa kombe la La Liga, Zinedine ameonekana kuaminiwa zaidi kutokana na kupanda kwa ubora wake wa kufundisha na kutazamwa kama mchango wa timu ya Taifa ya Ufaransa kwa lengo la kuiongoza kwenye mashindano kombe la Dunia mwakani.

Kocha huyo aliyewahi kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa shirikikisho la kimataifa(Fifa) mara tatu na kutokana na ushindi wa kombe la La Liga kuna uwezekanao wa kuwa nafasi nzuri ya kuwa kocha bora Hispania na Ulaya msimu huu.

Comments

comments

You may also like ...