Header

Jina/neno ‘Boda Boda’ laingia rasmi kwenye kamusi ya Kiingereza ya Oxford

Boda boda ni usafiri unaotumika sana Tanzania na Afrika Mashariki kwa sasa. Na ni mradi wa kiuchumi ulioajiri vijana wengi. Na sasa jina la usafiri huo wa pikipiki, limeingia kwenye kamusi ya Kiingereza ya Oxford toleo la tisa – kama neno rasmi la lugha ya Kiingereza.

Kamusi za Collins na Macmillan zinalielezea jina hilo kama ‘a bicycle taxi or a bicycle rider in charge of a motorcycle.’

Nayo OED inalielezea kama, “A type of motorcycle or a bicycle with a space for a passenger or for carrying goods, often used as a taxi.”

Comments

comments

You may also like ...