Header

Staa wa filamu za ngono aliyedai kupewa ujauzito na Drake aonesha kitumbo na picha wakiwa ‘date’

Staa wa picha za ngono, SophieBrussaux aliyedai kupewa ujauzito na Drake amejitokeza na kumwaga mchele zaidi. Mrembo huyo anadai kuwa Drizzy alimuambia aichomoe mimba yake lakini alikataa.

Na sasa amejitokeza na kuonesha picha akiwa na mimba hiyo ambapo anatarajiwa kujifungua October 13, mtoto wa kike. Awali uongozi wa Drake ulidai kuwa mimba hiyo ni ya rapper mwingine lakini kama ni wake kweli atamtunza mtoto huyo.

Msemaji wa Sophie, Jonathan Hay anasema:

In my opinion, it seems as though Drake’s first child will become October’s very own, as that’s the month his baby girl is expected. Drake’s lucky number is 13 and the expected due date of his first born is October 13th. I believe that based on the conception date, and what Sophie’s doctor has assured… this is without question Drake’s daughter on the way. Sophie is only wanting peace with Drake as they will be co-parenting for life.

Pia picha za Sophie akiwa na Drake kwenye date zimeonekana. Zitazame hapo chini.

Comments

comments

You may also like ...