Header

Video: Tazama kionjo cha kipindi cha Fear Factor, host akiwa Ludacris

Ludacris atakuwa host wa kipindi cha Fear Factor ambacho kinarudi tena, lakini awamu hii kupitia MTV.

Pamoja na kuwa host wa show hiyo, Luda ni mtayarishaji mkuu na ni sehemu tu ya ushirikiano wake na MTV katika miradi mingi. Kipindi hicho huhusisha mashindano ya kufanya vitu vigumu ambapo zawadi ya juu ni $50,000. Fear Factor itaanza kuoneshwa kupitia MTV Jumanne hii, May 30.

Comments

comments

You may also like ...