Header

Colonel Mustafa Afunguka Kuhusu Kuwekwa Kinyumba na Jimama

Msanii wa humu nchini Colonel Mustafa ambaye juzi kaachia kazi yake mpya “Ayo”  amekiri kuwa kuna wakati aliwekwa kinyumba na mwanamke ambaye ana mihela. Akizungumza na #MelodySinzore kwenye swali la wiki, Mustafa alisema “Yeah kweli unapokuwa bwana mzuri unapendwa, hata vidole havitoshani so what am trying to say is that, that woman alikuja kwa maisha yangu na mambo mengi na mimi kama mwanaume tukashirikiana now we making lotsa of money sahu tuko sawa, hata Quran ilisema kuoa mwanamke mwenye mafanikio ni baraka”, Mustafa pia aliongezea kwa kusema kuwa kuwekwa si rahisi inabidi uwe na heshima na discipline kwa ‘sponsor’ na pia kama mwanaume lazima ujiamshe ujismamie maana ukiwekwa maisha yako yote utafua hadi Chupi.

Comments

comments

You may also like ...