Header

Manchester United kuukingia kifua usajili wa ‘David De Gea’ Real Madrid

Klabu ya mashetani wekungu ‘Manchester United’ wako katika mpango wa kujipanga zaidi ili kuzui hatua za usajili wa mlinda mlango ‘David De Gea’ kwenda Klabu ya Uispania ya Real Madrid msimu huu.

Kufuatia kikosi kilichocheza mchezo wa fainali ya Europa Gea hakupata nafasi ya kushiriki mchezo ambapo Sergio Romeo alipata nafasi ya kuanza katika kikosi hicho.

Mlinda mlangu huyo Gea, amekuwa katika habari tofauti kuwa ana mpango wa kwenda ambapo Manchester wako katika jitihada za kukukwamisha uwezekano wa usajili huo na kutaja kuwa moja ya sababu kwa Real ni kushindwa kutimiza matakwa ya mkataba wao.

Comments

comments

You may also like ...