Header

Masomo yamzuia Chemical kupiga ‘vimeo’ vya mkoani

Rapper wa kike, Chemical ameelezea vitu atakavyovifanya pindi atakapomaliza masomo yake katika chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM. Ameiambia Dizzim Online kuwa moja ya vitu atakavyofanya ni kufanya kazi zake za muziki kiumakini zaidi.

“Nikimaliza nitafanya vitu vingi sana ambavyo nilishindwa kuvifanya wakati nasoma kwenda mikoani kufanya show. Unajua mi sijawahi kuzunguka mikoani kufanya show so nikimaliza nitakuwa nafanya hivyo. Pia nitakuwa nafanya interview sana na pia nitakuwa karibu sana na mashabiki zangu kwasababu nitakuwa na kitu kimoja tu kinachonizungusha, ambacho ni muziki,” amesema.

Aidha aliongeza na kusema,” Na nimekua nikijitahidi kutoa bonus track nyingi kipindi cha masomo, hizi ni za kutaka watu wajue bado nipo kuliko kukaa kimya.”

Chemical m

Comments

comments

You may also like ...