Header

Migos, Future, Trey Songz kutumbuiza kwenye tuzo za BET 2017

Kundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo za BET mwaka 2017 limetangazwa. Migos na Future ni wasanii wa hip hop watakaopanda jukwaani. Wengi waliotangazwa ni Bruno Mars, Trey Songz na Tamar Braxton.

Baadhi ya wasanii waliotajwa kuwania tuzo ni pamoja na Kendrick Lamar, Drake, ig Sean, J. Cole, The Weeknd, Missy Elliott, Remy Ma, Young M.A, DJ Khaled, Fat Joe, Lil Wayne, 21 Savage, Chris Brown, Nicki Minaj na wengine.

Show itaruka live kutoka kwenye ukumbi wa Microsoft Theater, Los Angeles Jumapili ya June 25.

Comments

comments

You may also like ...