Header

Video: Mtoto bingwa wa mazingaombwe awa kivutio kwenye Britain’s Got Talent

Mtoto Issy Simpson, mwenye umri wa miaka minane, Jumanne hii aliibuka mshindi kwenye nusu fainali ya shindano la Britain’s Got Talent linalooneshwa kupitia kituo cha ITV cha nchini humo. Mtoto huyo amejizolea sifa kwa uwezo wake wa pekee katika kuonesha mazingaombwe.

Kutokana na ushindi huo ambapo aliwashinda washiriki wengine saba, ameingia kwenye fainali ya shindano hilo zitakazofanyika Jumapili hii. Tazama video za alichokifanya kwenye nusu fainali.

Comments

comments

You may also like ...